Shabiki wa klabu ya Yanga na Manchester United Bright Mwakasege ameshinda Sh20 million kupitia kasino maarufu ya LEONBET kwenye mchezo pendwa wa Aviator.

Ushindi huu wa Mwakasege ambaye ni mkazi wa Dar es Salaam, umetokana na dau lake la Sh200 tu kwa kupata odds au multiplier x100000 – kitu ambacho ni nadra sana kutokea katika mchezo huu wa Aviator maarufu kama kindege.

Akizungumza baada ya ushindi, Bright alisema kuwa awali alifikiri amejishindia Sh2 milioni tu na hiyo ilitokana na uharaka wake wa kuangalia kiasi cha fedha alichoshinda.

“Niliangalia haraka haraka, nikajua ni Sh2 milioni. Hata hivyo, kaka yangu alipopitia tena ushindi huo, aliniambia kuwa nimeshinda Sh20 milioni. Hapa nikajaa na furaha zaidi baada ya kufahamu kuwa amepata bahati kubwa ya kushinda zawadi hiyo,” alisema Bright.

Mshindi wa mchezo wa aviator wa kasino ya LEONBET, Bright Mwakasege akiwa katika pozi mara baada ya kukabidhiwa fedha Sh20 milioni alizoshinda kwa dau la sh200 tu.

Alisema kuwa Kasino ya LEONBET imetoa ushuhuda wa kufurahisha katika michezo ya burudani kama Aviator inavyoweza kuleta furaha na faraja kubwa kwa wateja wake.

Katika msimu huu wa sikukuu, kampuni hiyo inaendesha kampeni kabambe ijulikanayo kwa jina la “Shangwe la Sikukuu na LEONBET”, ambapo wateja wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kemkem kila siku na kila wiki.

Zawadi hizo ni simu janja au Smartphone mpya kwa kila siku, televisheni za inchi 65, pikipiki mpya kila wiki.

Ili kushiriki, unachotakiwa ni kujisajili kupitia tovuti rasmi ya LEONBET: www.leonbet.co.tz na kuanza kufurahia michezo mbalimbali ya kasino kwa urahisi na furaha.

LEONBET inasisitiza kuwa kila mteja ana nafasi ya kushinda na kuburudika katika msimu huu wa sikukuu na kuwaomba wadau kuendelea kuweka dau na huenda wakawa mshindi wa zawadi kubwa kama aliyoshinda Bright Mwakasege na kutimiza ndoto zako.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Desemba 8, 2024
Temeke yapewa shavu kuzindua Dar24 Chandimu Cup