Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimwapisha Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, leo  Desemba 10, 2024.

Waziri Bashungwa anachukua nafasi ya Mhandisi Hamad Yusuf Masauni aliyeteuliwa na kuapishwa kuwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira);

Kabla ya Uteuzi huo, Bashungwa alikuwa Waziri wa Ujenzi.

Serikali kushughulikia Mikopo kausha damu
CLUB WORD CUP:Messi kumkaribisha Ronaldo Marekani