Wito umetolewa kwa makasisi wa Kanisa Katoliki kuacha kujihusisha na siasa.

Wito huo umetolewa na Papa Francis alipokuwa kwenye ziara ya siku moja huko Corcica, katika kisiwa cha Ufaransa cha Mediterania, ambapo katika mkutano huo alionya dhidi ya aina mbalimbali za hali kiroho ambayo hali hiyo inachangia kuibua mizozo na migawanyiko duniani.

“Wachungaji wa Kanisa kuwa macho kutumia utambuzi na kuwa waangalifu,” Alisema.

Papa Francis alifanya safari yake ya tatu na pengine ya mwisho ya nje ya nchi mwaka 2024.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Desemba 16, 2024
Byabato atumia Bukoba Mjini Mpya Festival kuwafariji Watoto yatima