Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, Tundu Lissu rasmi amechukua Fomup ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho.

Lissu amechukua fomu hiyo hii leo Desemba 17, 2024 katika ofisi za Chama hicho zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam  na kusema anaamini hatua hiyo itakuwa ni mwanzo mpya wa mabadiliko ya kweli ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla.

Dkt. Biteko: Ichukieni rushwa, fanyeni kazi kwa bidii
Mudryk awekwa kikaangoni na UEFA ,Chelsea yapigwa butwaa