Serikali ya China imesema Marekani imeionya Marekani kwa kusema inacheza na moto baada ya kutangaza kutoa msaada zaidi wa kijeshi kwa Taifa la Taiwan.
Hata hivyo, Ikulu ya White House imesema utawala unaomaliza muda wake wa Joe Biden umeidhinisha hadi dola milioni 571.3 ambazo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trilioni 1.4.
Pesa hizo ni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa pamoja na kugjaramia mafunzo ya kijeshi kwenye kisiwa cha Taiwan kinachojitawala, ambacho China inadai ni mali yao.