Kusema kweli wanawake tunakutana na shida nyingi sana makazini ni vile watu wanatuchukulia poa au kirahirahisi. Mimi binafsi nilishawahi kufanya kazi katika bar moja hivi, katika harakati za kuhudumia mteja akaniomba namba yangu ya simu.

Si unajua hawa wanaume, sikutaka usumbufu hivyo nilimnyima tena kwa lugha mzuri kabisa kama mteja wangu. Kama angekuwa muelewa, angeelewa.

Basi unajua alifanyaje? akaenda kunisemea kwa Meneja wangu kuwa nimemtukana na sina huduma nzuri halafu akaondoka bila hata ya kulipa bili ya vinywaji ambavyo alikuwa amekunywa.

Hapo mwenyewe meneja ametoka kunitongoza na nimemkataa, hivyo ile kazi ikawa ni changamoto sana kwangu. Hata sikufikiriwa mara mbili, nikawa nimefukuzwa katika ile kazi.

Baada ya muda nikawa nimepata kazi sehemu nyingine, kazi yangu ilikua nzuri ilinipa fedha nzuri ila sikuipenda kabisa. Niliikubali kwa sababu nilihitaji fedha.

Ni mbaya zaidi kwa sababu yalikua mazingira magumu sana kufanyia kazi kwa aina ya Bosi niliyekua nae hivyo tatizo mara mbili. Ilifanya hata nikirudi nyumbani nakuwa na hasira, muda wote nilikuwa na huzuni, nilikua na msongo wa mawazo, hata usingizi wa afya sikua napata.

Niliacha ile kazi baada ya kujikusanya kwa muda na kufungua biashara yangu ndogo ambayo naendelea nayo. Mwanzo wa biashara yangu haukuwa mzuri ila baada ya kaka yangu kuniunganisha na Dr Bokko ambaye alinipa dawa za kuvuta wateja, sasa mambo yanaenda vizuri.

Watu wasichojua, ni heri kutokua na kazi kuliko kuwa na kazi ambayo ni hatari kwa utimamu wako na afya yako ya akili. Tangu niache ile kazi, nina furaha sana. Kipato changu kimeongezeka mara dufu. Wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050 ili nawe uinuke kiuchumi.

Makala: Lifahamu Wingu hatari zaidi angani
Dkt. Kazungu: Jotoardhi kuingiza Megawati 30 kwenye Gridi 2026/27