Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, Godbless Lema amemtaka Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe apumzike uongozi na amuachie Lissu akiongoze.

Lema ameyasema hayo wakati akiongea na Vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam hii leo Januari 14, 2025 na kudai kuwa hata yeye kwasasa ni mkunja ngumi na hana nafasi yoyote katika wadhifa wa uongozi baada ya kuamua kutogombea tena ili kupisha kasi.

Watatu washikiliwa na Polisi kwa mauaji ya wawili Mbeya
Tanga: 11 wapoteza maisha wakishuhudia ajali