Leo Januari 18, 2025 Rais Samia ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi – CCM, aliongoza Wajumbe wa Mkutano Mkuu katika tukio la kumpitisha Stephen Wasira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.
Tukio hilo lilikiwa likifuatiliwa moja kwa moja na Wananchi katika maeneo mbalimbali Nchini na hapa nimekuletea baadhi ya matukio.
1. ARUSHA: Mkoa wa Arusha wakifuatilia moja kwa moja Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.
2. ZANZIBAR: Kisonge Mapinduzi Square wakifuatilia mubashara Mkutano Mkuu wa CCM unaoendelea Jijini Dodoma.
3. TABORA: Wanachana wa CCM mkoani Tabora wakifuatilia live mkutano mkuu maalum wa CCM unaondelea jijini Dodoma.