Picha: Rais Samia alivyoongoza zoezi la upigaji kura
9 hours ago
Picha: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi – CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyoongoza zoezi la kulipigia kura jina la Stephen Wasira lililopendekezwa kuziba nafasi ya Abdulrahman Kinana.