Picha: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma hii leo Januari 19, 2025.