Zanzibar: Wanachama wa CCM visiwani Zanzibar, wakifuatilia Mkutano Mkuu maalum wa CCM wa jijini Dodoma, huku wakipata burudani kutoka kwa wasani mbalimbali.

TABORA:

Wanachama wa chama Cha mapinduzi Mkoa wa Tabora, wakimshangilia Mwenyekiti Taifa, Dkt samia suluhu Hassan

Wanasema hatua kwa hatua na Dkt. Samia Suluhu Hassan.

 

Mwanza wafuatilia Mkutano wa CCM kwa burudani