PICHA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofauti aliposhiriki Siku ya pili ya Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama hicho ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma leo Januari 19, 2025.

 

Picha: Dkt. Samia, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM
Dkt. Nchimbi Mgombea mwenza wa Urais CCM