Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho Mara baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu maalumu ukumbi wa Jakaya Kikwete Leo Januari 19, 2024.