Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na wajumbe wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma.
Wajumbe hao wamektana na Waziri Mkuu hii leo Januari 20, 2025 na waliongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue.