Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Majaji hao walioapa hii leo Januari 22, 2025 ni-
i. Jaji George Mcheche Masaju,
ii. Jaji Dkt. Ubena John Agatho,
iii. Jaji Dkt. Deo John Nangela,
iv. Jaji Latifa Alhinai Mansoor.