Baraza la Mitihani Nchini – NECTA, limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne, uliofanyika Novemba 11 – 29, 2024.
Matokeo hayo yametolewa hii leo Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed na yanapatikana kupitia tovuti rasmi ya NECTA.
waweza kuyatazama kwa kupitia Google kwa link hii
https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/csee/CSEE2024/CSEE2024.htm