Ndugu zake wamtuma aniwekee dawa ya mapenzi

Naitwa Mudi kutokea Mombasa, katika maisha yangu kipindi cha nyuma niliwahi kuwa katika mahusiano na binti fulani ambaye nilidumu naye katika mahusiano kwa muda wa zaidi ya miaka minne.

Sasa baada ya miezi 7 ya mahusiano kuna siku huyo binti aliniambia ana mimba, kwa kweli nilishtuka juu ya taarifa hiyo lakini nikajisemea moyoni kuwa kama ikiwa yangu nitalea, japo sikuwa tayari kuwa na mtoto kipindi hicho.

Sasa baada ya kuchunguza na kumbana sana kwa maswali na kutaka twende kupima yule binti akasema kuwa hana mimba alitaka kunipima tu ajue nitasemaje, ili chukua kama siku tatu hivi ndo akaja kusema ukweli huo kuwa hana mimba.

Basi maisha yakaendelea, sasa baada ya kupita miezi mingine saba akaja kusema kuwa ana mimba yangu kweli, mimi nikawa na mkatalia alivyoona vile akawaambia ndugu zake wa kike wawili.

Hao ndugu zake wakanipigia simu wakawa wananitishia kuwa ile mimba ya mdogo wao ni yangu na kila kitu wanajua kuhusu mimi, japo mi kusikia hivyo lakini mimba niliikataa.
Wakati huo nilikuwa nimesafiri kidogo nilienda mkoani mara moja sasa nilipanga nikirudi nikamchukue huyo binti nikampime, lakini hilo sikuwaambia ila nilikuwa naendelea kukataa kuwa ile mimba si yangu.

Nilichofanya nika M-block kwa muda yule binti nione atafanya nini, alichofanya akawa ananitafuta kwa namba nyingine huku akisema kuwa ana mimba yangu.

Sasa mimi nikarudi zangu Mombasa nikamcheki yule Binti lakini wimbo ukawa ni ule ule kuwa ana mimba, sasa mimi nilichofanya nikawa namwambia si yangu basi akawa anatukana sanaa lakini mimi nilisimamia msimamo ule ule.

Sasa kuna siku yule binti akajikuta ananiambie kuwa anataka nimpe pesa kisha aongezee na yake ili akatoe hiyo mimba mi nikamwambia kuwa sina hela.

Sasa nikawa naendelea sana kumbana na kutaka aseme ukweli ilipita kama mwezi na wiki 2 akaja kusema mimba ile imetoka, hivyo anataka yaliyopita tuyasahau tuanze maisha mapya na akalia sanaa kuwa ananipenda.

Mimi nikamsamehe lakini sikutaka kuonana nae kwanza kwa sababu kutokana na dawa zilizochukuwa kwa Dr Bokko za kujikinga na maadui katika mapenzi na kazi, tayari nilishajua kuna jambo halipo sawa.

Baada ya kumsamehe ikapita kama wiki, sasa ikawa analazimisha sana tufanye ule mchezo huku akisema kuwa amenimiss sanaa, na kila siku wimbo ni huo huo.

Mimi nikajiuliza mbona anataka sana japokuwa mwanzoni alikuwa akisema amenimiss, huwa najiongeza chap, lakini sasa hivi imekuwa too much nikaona hii si kawaida.

Kwa kuwa yule binti ananipenda sana nikatumia mwanya huo kwa kumbana na maswali ili kutaka aseme ukweli kuwa kwanini anataka sana tufanye tendo na muda wote maongezi ni hayo hayo.

Sasa baada ya kumbana sanaa akaja kusema ukweli kuwa aliambiwa na wale ndugu zake kuwa aje aniwekee dawa ya mapenzi ili nimpende yeye tu, akanitumia hadi picha ya hiyo dawa ambayo alitaka kuja kuniwekea.

Daah nikachoka kabisa, lakini aliomba msamaha sanaa kuwa hajakusudia kufanya hivyo ila ni ndugu zake waliomshawishi hivyo ni msamehe sanaa.

Kusema kweli kama sio na mimi nilikuwa na dawa ya kujikinga tayari ningenasa katika huu mtego. Wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050 au tembelea tovuti yake.

Barabara tisa DSM zafungwa kupisha mkutano wa Nishati