Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ambao katika siku ya kwanza umehusisha Mawaziri wa Nishati na Fedha barani Afrika.
Pia umehusisha pamoja na Wadau wa Maendeleo wakiongozwa na Rais wa Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo Afrika.
Mkutano huo umefunguliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.