Naitwa Naomi kutokea Moshi, ninafanya kazi ya kuuza vyakula kama supu maeneo ya mjini, huku mume wangu akiwa ni mfanyabiashara maarufu hapa mjini, kila mmoja amekuwa akifanya shughuli zake kwa bidii kwa lengo la kuwatunza watoto wetu.
Wakati tulipooana maisha yalikuwa yametaliwa na upendo mwingi, sikudhani kama kuna kitu au jambo ambalo linaweza kuja kutogombanisha na mume wangu kwa jinsi ambavyo tulipendana hapo awali.
Changamoto ilianza pale ambapo kila muda mume wangu alikuwa anamsikiliza sana mama yake na kunipuuza mimi, mama yake ndio alikuwa anaamua sisi tuishi maisha ya namna gani.
Ikiwa mume wangu anataka kufanya jambo fulani, mtu wa kwanza kumshirikisha ni mama yake na sio mimi mke wake.
Jambo lilonikera ni pale ambapo nilisikia maneno mtaani kuwa mume wangu kuna kiwanja amekinunua sehemu wakati mimi mkewe hajaniambia chochote.
Niliamua kukaa kimya na kumpa muda ili nione kama ipo siku ataniambia chochote, lakini zilipita wiki tatu hajasema chochote.
Hatimaye niliamua kuvunja ukimya na kumuuliza ni kwanini kanunua kiwanja bila kunishirikisha, jibu alilonipa kamwe siwezi kuja kulisahau maisha mwangu.
Alisema mama yake ndiye aliyeamua na kushauri anunue kiwanja eneo lile na asingeweza kumkatalia hata kidogo, nilimuuliza mbona hukunishirikisha hata kwa kidogo?, ina maana wewe unamsikiliza tu mama yako?.
Tabia hiyo iliendelea hadi ikafikia hatua nikaenda kugombana na mama mkwe kuwa aache kutupangia maisha, mume wangu aliposikia nimegombana na mama yake alikuja nyumbani akanigombeza sana.
Siku hiyo akaondoka akaenda kulala nyumbani kwao maana sio mbali na tunapoishi. Alikaa huko kama wiki moja bila hata kunipigia simu, nilienda kwa rafiki yangu na kumueleza kuwa mume amekimbia nyumbani kisa anamsikiliza sana mama yake.
Aliniambia tatizo hilo lilishawahi kuikumba ndoa yake ambapo mume wake alikuwa hamsikilizi kabisa zaidi ya kusikiliza watu wengine huko nje, alizidi kuniambia yeye alipata dawa ya hilo kwa Kiwanga Doctors ambaye anaweza kumfanya mtu akusikilize wewe tu na kufanya kile unachosema.
Aliamua kunipa namba ya Kiwanga Doctors ambaye anapatikana huko Migori, Kenya. Mara moja nilimpigia na kuzungumza naye kwa mapana kuhusu changamoto ya ndoa yangu.
Alinialika ofisini kwake nami ndani ya wiki moja nikahakikisha nimesafiri na kufika huko, baada ya kunifanyia dawa zake pamoja na matambiko alinihakikishia kuwa ndani ya siku tatu mume wangu atakuwa amerejea nyumbani.
Hatimaye siku chache mbele mume wangu alirejea nyumbani akiwa mpole na kuniuliza maendeleo ya watoto, nilimtengea maji akaenda kuoga, alivyorudi nikampatia chakula.
Usiku tukiwa kitandani aliniambia ameona mama yake anamshuari vibaya na tangia siku hiyo atakuwa ananisikiliza mimi tu kama mke wake.
Napoongea sasa huu ni mwaka wa pili mume wangu ananisikiliza mimi tu hadi ndugu zake wanasema nimempa limbwata, wengine wanasema nimemshika akili, lakini bila hivyo hakika ndoa yangu tayari ingekuwa ishavunjika. Kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.