Jina langu ni Chazz kutokea Tarime mkoani Mara, miaka kama sita hivi ilivyopita tulienda kata fulani kucheza zile mechi za ndondo, wapenzi wa mpira nadhani wananielewa nini namaanisha.
Kulikuwa na ligi ambayo ingechukua kama wiki mbili kuisha. Nilipewa nyumba ya kukaa na hela yangu kabisa tayari kwa mechi. Siku ya mechi kama ilivyo kawaida ya vijiji vingi, watu walijaa kibao tayari kwa burudani.
Aisee hiyo siku niliupiga mwingi balaa, kwa bahati mbaya walikuwa hawalijui jina langu kwahiyo walikuwa wananiita Mido. Mechi zilizofuata zote ilikuwa hivyo hivyo. Niliishi kwa raha sana zile wiki mbili maana nilikuwa najulikana kila ninapokwenda.
Kinachonifanya nisimulie hii stori ni kuwa, michuano ile ndio ilinikutanisha na mke wangu. Kwa bahati mbaya sana mimi naweza kusema sikuwa na kazi, kazi yangu ni kucheza mechi za mchangani na kulipwa posho.
Yule binti kwao walikuwa wanajiweza kiuchumi na alikuwa na biashara yake. Hapo ndio ilikuwa tatizo. Hata nyumbani wazee wenyewe walinikataza nisioe sababu sina kazi. Nilimwambia mpenzi wangu hakunielewa, alichokuwa anataka yeye ni ndoa tu.
Siku moja nikasikia habari za Kiwanga Doctors wanaopatikana huko Migori, Kenya. Nilifunga safari hadi ofisini kwa kundi hilo la waganga wa jadi na kunifanya matambiko ambayo yaliniwezesha kupata kazi.
Sasa baada ya kupata kazi, baadae tukaamua kukaa pamoja. Baada ya mwaka kupita taratibu wakaanza kuelewa na kukubali, ikawa hivyo mpaka sasa wazee wote wapo pamoja na sisi ingawa bado hatujafunga ndoa.
Kichekesho ni kuwa, sasa hivi kila nikipata kazi za kusafiri za kwenda huko vijijini kucheza ndondo, mpenzi wangu hataki kuelewa kabisa anasema nitachepuka. Hivyo sasa hivi nimetulia na kazi yangu tu ambayo inanipatia fedha nyingi.
Ila nilichojifunza katika harakati za ndoa, ni kuwa hakuna siku mtakuwa tayari kuoana. Ni ishu ya kuamua tu tuhangaike pamoja.
Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.
Wengine wengi wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma zao. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com