Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa nchini Ethiopia hii leo Februari 14, 2025.

Rais Samia yupo Nchini humo kwa ziara ya kikazi, akishiriki Mkutano wa kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Pamoja na mambo mengine pia Rais Dkt. Samia atashiriki mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika.

Mwanajeshi feki adakwa na Polisi Simiyu
Kapinga ashiriki kikao cha Mawaziri wa kisekta Arusha