Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed kando ya Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.

Wadau wafurahia maboresho Shule ya mahitaji maalum Buhongwa
Picha: Rais Samia na Viongoxi wakuu wa AU