Jina langu Hussein kutokea Ilala, Dar es Salaam. Leo kuna jambo nataka kukushirikisha, unajua kuna mambo huku ukubwani unayashuhudia na unasema ni muhimu sana kutafuta fedha tena kuwa nazo nyingi.
Nasema hivyo kwa sababu nishawahi kushuhudia rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa akichepuka kwa mkewe. Kwa bahati mbaya mchepuko ukashika mimba bila yeye kupanga jambo hilo la kuzaa naye.
Vitu havijifichi, kisirani cha mama kijacho kikazidi jumlisha hasira na wivu wa mimba, akasahau kuwa yeye ni mchepuko. Sasa mchepuko ukawa unapiga simu kwa jamaa muda wowote ule anaojisikia, na asipopokea ugomvi. Yaani mpaka mkewe akajua.
Kesi ikawa kubwa. Simu kwa ndugu zikapigwa kama zote. Ikabidi mke aitishe kikao ili kuweka sawa huu msala. Hivyo ilibidi wazazi wa mume na mke wote wakutane maana huyu mchepuko alikuwa amezidisha dharau kwa mke mkubwa.
Basi, mwanamke akatuma nauli kwa mkwewe yaani mama wa mume wake aje kuweka mambo sawa. Jamaa alikuwa anatoa taarifa zote kwa mchepuko ni nini kinaendelea nyumbani.
Unaambiwa mama mkwe amefika nyumbani na jazba nyingi kumfokea mwanae. Kwanini anatesa familia ukizingatia tayari wana mtoto. Basi bhana, vikao vikaisha na jamaa akaahidi kuwa atajirekebisha na kesi haitafika tena nyumbani.

Unhappy Couple After an Argument in the Living Room at Home. Sad Pensive Young Girl Thinking of Relationships Problems Sitting on Sofa With Offended Boyfriend, Conflicts in Marriage,
Sasa huyu mchepuko kumbe alikuwa na namba ya mama mkwe pia. Yaani namba ya mama wa huyu mdau wangu.
Unaambiwa kabla hajaondoka kwenda kijijini akamtumia kama laki. Muamala kuingia anaambiwa ajiandae yeye na mwanae, nao mchepuko utembelewe.
Kumbuka mama amekuja kusuluhisha kesi. Mama kuona muamala akachanganyikiwa, ikabidi aulizie taarifa za mchepuko kwa mtoto wake.
Mdau ikabidi afunguke ukweli. Kuwa mchepuko wake ni mtu flani na wadhifa wake na hela kwake sio tatizo. Ooh! kusikia hivyo mama akasema basi twende tukamuone maana na yeye amebeba mjukuu wangu pia.
Mama mkwe akapiga miguu kote, yaani kwa mke na kwa mchepuko. Amerudi kijijini na zawadi kibao za mchepuko na walitolewa out moja ya kibabe sana yeye na mwanae.
Cha ajabu mama mkwe akawa anakazia kwa mwanae, sasa haya mambo mwanangu ufanye kwa siri.. hakukuwa na kesi tena. Ila mke wa jamaa aliweza kuukomesha ule mchepuko kupitia dawa za Kiwanga Doctors ambao walimfanyia matambiko ya kuilinda ndoa.
Unaambiwa tangu mke wa jamaa kwenda kwa hao waganga wanaopatikana Migori, Kenya, mchepuko ulimkataa kabisa pamoja na yule mama mkwe hadi wenyewe wakawa wanashangaa imekuwaje wamegeukwa tena ghafla.
Imekuja kubainika kuwa ni watu wengi wamepata tiba ya ndoa zao kupitia dawa za Kiwanga Doctors. Wasiliana nao kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com.
Mwisho.