Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rdG25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaamtarehe 22 Februari, 2025.

Waziri Aweso afanya mabadiliko MORUWASA
Rais Samia katika Mkutano Nchi zinazozalisha Kahawa Afrika