Picha: Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa usambazaji mitungi ya gesi ya kupikia na majiko banifu kwa bei ya ruzuku inayofanyika leo Februari 27, 2025 mkoani Tanga.

Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye hii leo amezindua ugawaji wa mitungi ya gesi (LPG) kwa Wananchi, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia.

Picha: Rais Samia akiwa na Wanafunzi wa Shule Muheza
Changamkieni fursa za kimaendeleo kukuza uchumi - Balozi Kombo