Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Mkwakwani Tanga kwenye Mkutano wa hadhara na Maelfu ya Wananchi waliofurika uwanjani hapo wakati wa Ziara yake ya kikazi leo Februari 28, 2025.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Machi Mosi, 2025
Mfuko wa Utamaduni waongeza chanzo endelevu cha mapato