Rais Samia akagua mradi wa maboresho Ghati mbili mpya Bandari ya Tanga
1 month ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 1, 2025 amefanya Ukaguzi wa Mradi wa Maboresho ya Gati mbili Mpya katika Bandari ya Tanga, Mradi unaogharimu kiasi Cha Shilingi Bilioni 419.