Majiko ya gesi ni nishati safi na salama yenye kutunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji

Waka la Nishati Vijijini REA ameendelea na zoezi la usambazaji na ugawaji wa mitungi 3,255 ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya muheza Mkoani Tanga na kuwa kuwafikia Wananchi wake ndani ya kata zao ili kulahisisha upatikanaji huduma hiyo.


Huduma hiyo imeendelea leo Machi 02 mwaka 2025 ndani ya Muheza ya kuwafikia wanachi kwenye maeneo yao ikiwa ni mpango wa serikali wa kuhakisha kila mwanchi anatumia nishati jadidifu kwa usalama wake na kuepuka uchazi wa mazingira ya kutumia kuni na mkaa ambapo Mitungi ya gesi inapatikana kwa gharama nafuu.

Rea kwa Mkoa wa Tanga unataraiia kusambaza Mitungi gesi kwa bei ya ruzuku 26,040 kwa wananchi.

Uwezeshwaji umewasaidia Wanawake kuinuka kiuchumi
Waliyoyapambania Wanawake wenzetu matunda yake tunayaona - Mbuja