Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati CPA. Shaaban Mpendu amewaunga mkono wanawake wa Mkoa wa Manyara katika Maadhimisho ya siku ya wanaweka duniani.
Maadhimisho hayo Kimkoa yamefanika Wilayani Mbulu katika Viwanja vya s Shule ya Msingi Flatei.
CPA. Mpendu aliwasalimia wanawake waliofika kushiriki katika maadhimisho hayo na kutoa wito Kwa wanawake hao katika kuelekea Uchaguzi mkuu wa Mwaka huu 2025 Kuhakikisha wanawake wanamuunga mkono Mgombea urais Dkt.Samia Suluhu Hassan.