Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti aliposhiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha hii leo Machi 8, 2025.

Dkt. Biteko: Fursa kwa Mtoto wa kike zianzie ngazi ya familia
Maisha: Bibi hataki nifanye chochote ili anirithishe uchawi