Rais Samia ashiriki hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Maji
8 hours ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Maji Same – Mwanga – Korogwe alipowasili Mkoani Kilimanjaro hii leo Machi 9, 2025.