Rais Samia aweka jiwe la msingi Mradi wa Maji Same
12 hours ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Maji Same – Mwanga – Korogwe wakati wa ziara ya siku Moja Mkoani Kilimanjaro hii leo Machi 9, 2025.