Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalumu ya kuthamini na kutambua kazi kubwa anayoifanya kwa Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) uliofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma hii leo Machi 11, 2025.

Wakurugenzi wanaotaka kuwania nafasi za Ubunge watakiwa kutoa taarifa mapema
Pinda arejesha matumaini kwa Wasioona, wenye tezi dume Kavuu