Watu wengi hupendelea kufanya mapumziko fukweni hasa siku za mwishoni mwa wiki, zipo fukwe nzuri na za gharama zaidi, lakini pia zipo fukwe ambazo ni hatari, zilizoripotiwa hapa duniani na kushauriwa kutokanyagwa na watu kutokana na kuhatarisha maisha.
Wanasema, kukanyaga fukwe hizo inaweza kusababishia kupoteza maisha au kilema cha milele.
Katika ulimwengu kuna vitu vizuri, vya ajabu na vya kushangaza, tazama hapa chini sababu ya marufuku kukanyaga katika ‘beach’ hizo.
Pia waweza pitia makala zinazofuata katika link za hapo chini ili kupata ufahamu zaidi.