Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepokea taarifa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Madini, ambalo kwa sasa limefikia asilimia 95 ya ukamilikaji!

Ujenzi huu unaendelea kwa kasi kubwa na kwa viwango vya hali ya juu, ukiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha miundombinu ya serikali. Jengo linatarajiwa kukamilika rasmi ifikapo Aprili 2025.

Kamati ya Bunge yapongeza Ujenzi jengo la Wzara ya Nishati Mtumba
TIB imewekeza Bil. 630.3 katika miradi ya maendeleo - Mbassy