Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Mabanda mbalimbali yanayojishughulisha na Sekta ya Maji wakati wa Kilele Cha Wiki ya Maji inayoendelea Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam hii leo Machi 22, 2025.






