Jina langu ni Babra kutokea Katavi, miaka kadhaa iliyopita nilifanikiwa kupata kazi katika ofisi moja mkoani Mbeya, ni kazi ambayo mimi niliunganishwa tu na rafiki yangu ambaye tulisoma naye chuo.

Katika ofisi ile kazi hazikuwa nyingi sana na kila wikiendi tulikuwa tunapumzika tu nyumbani, ni kazi ambayo niliipenda sana pia ilikuwa inalipa mshahara mzuri tena kwa wakati.

Sasa kuna wakati nikajikuta nimeingia katika uhusiano na Bosi, penzi letu lilikuwa la siri kiasi hakuna mfanyakazi ambaye alijua lakini mwisho wa siku nikabeba ujauzito wakati Bosi mwenyewe ana mke wake.

Hata hivyo, sikuwahi kumuona mke wake, yeye aliniambia nimzalie kwa sababu mke wake hazai, mimi nikaamua kubeba mimba kiroho safi nikijua pengine kuna siku atabadili mawazo na kuja kunioa.

Wakati mimba ikiwa na miezi minne, nikagundua mke wake na watoto wanne ila ukimuona utasema hajazaa hata mmoja na anazaa kawaida.

Kibaya zaidi ahadi zote ambazo alinipa kama kuninunulia gari na nyumba alikuwa hajatimiza hata moja. Nilitamani nimtafuta mke wake nimwambie ukweli kama mume wake alinidanganya.

Kitu ambacho kilikuwa kinanichanganya zaidi ni kwamba ilikuwa imesalia miezi kama miwili hivi niende likizo ya uzazi na sijui wapi naenda na sijui kama nitakuwa nalipwa mshahara.

Nilimueleza yule rafiki yangu aliyenitafutia hiyo kazi na kumueleza kila kitu, yeye akanishauri niende kwa Kiwanga Doctors anayepatika huko Migori nchini Kenya.

Kutokana na hali yangu sikuweza kusafiri umbali mrefu hivyo niliamua kumpigia mtalaamu huyo na kumueleza shida yangu. Basi Kiwanga Doctors alinifanya dawa ya kutimiziwa ahadi zangu (pay me now spell) ambayo ilifanya kazi.

Hazikupita hata wiki mbili yule Bosi akanikadhi gari na nyumba kama ambavyo aliniahidi. Hiyo nyumba ndio naishi hapo kwa sasa na mtoto wangu na yeye kama akitaka kutuona ndio huwa anakuja hapo.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao.

Maisha: Mbinu ya kuwatuliza ndugu wa mume waingilia ndoa
Matumizi taarifa za Takwimu: NBS yawanoa Maafisa Habari Kanda ya Ziwa