Naitwa Juma kutokea Kagera, kipindi cha nyuma nilikuwa na mahusiano na mwanamke mmoja, naweza kusema katika penzi letu hakuna chochote cha maana tuliwahi kufanikisha maishani mwetu.
Mbaya zaidi mambo yangu yalikuwa yakiyumba sana upande wa kazi na biashara. Nilishindwa kuelewa ni jambo gani hasa lilikuwa katika mahusiano yetu, lakini kila mara kuna sauti ilikuwa inanijia na kuniambia huyo mwanamke hamuendani nyota zenu.
Basi niliamua kumuuliza rafiki yangu mmoja kuhusu jambo hilo, aliniambia ni kweli, ili kufanikiwa katika mahusiano, biashara, kazi na mambo mengine, suala la nyota ni muhimu sana maishani.
Aliniambia hata yeye alisumbuliwa na jambo hilo kazini kwake lakini alikuja kupata suluhisho kwa kupitia Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya ambaye ndiye aliyekuja kubadilisha maisha yake.
Alinipatia namba zake ambake +254 116 469840, basi nilichukua hatua ya kumpigia na kumuelezea shida yangu. Tulihitimisha kwamba nikamuone mara moja ofisini kwake.
Naweza kusema tangu hapo mambo ndipo yalianza kuninyookea, alinieleza nyota yangu na mwanamke yule haziendani kabisa. Hivyo alinielekeza aina ya mwanamke ambaye natakiwa kuwa naye ambaye anaendana na nyota yangu.
Nalifuata ushauri wake kwa uangalifu mkubwa hadi kuja kufanikiwa. Hatimaye nilikuja kumpata huyu mwanamke na sasa maisha yanaenda vizuri, hatujawahi kugombana, huu ni mwaka wa tatu tupo pamoja katika ndoa yetu.
Biashara zetu na kazi zetu zinaendelea vizuri tofauti na nilivyokuwa katika yale mahusiano mengine.
Unajua hakuna raha katika maisha hasa upande wa mahusiano kama kumpenda anayekupenda, unakutana na mtu anakuonyesha mapenzi ya kweli kiasi kwamba anaanza kujiuliza ulikuwa wapi wakati wote.
Ndivyo ilivyo kwangu kwa sasa, nafurahia ndoa yangu na maisha yangu baada ya kipindi cha hapo nyuma kupitia changamoto nyingi sana kwenye mahusiano, pia katika biashara na kazi.