Jina langu Salma, mimi ni mwanamke ambaye nilikiwa kwenye mahusiano na kijana ambaye nimemzidi miaka mitano, yeye ni muajiriwa wa serikali na mimi pia muajiriwa wa serikali ila kazi tunafanya vituo tofauti.

Kati ya wanaume niliowahi kuwa nao huko nyuma huyu anajua kuniliwaza, haiwezi pita mwezi ananitoa out wakati huko nyuma sikuwahi kutolewa out kwa huyu ndio nimezijua out ila out zake za usiku.

Nina shida kipesa ananisaidia kama hana anasema hana. Tumekaa miezi 6 kwenye mahusiano ila na kenyewe hakaja tulia ni mtu wa wanawake hajawahi kunionyesha wala kunidharau ila pilika pilika zake tu huwa ni wa totoz.

Nikamwambia mimi naona tuachane sababu wewe bado mdogo hujamaliza mambo ya ujana pia kwenye haya mahusiana sioni kama tutafika mbali, kwanza hatuna marengo yoyote kwa hiyo kabla hujapoza muda na mimi kupoteza muda tupeane nafasi.

Siku iliyofuata nikiwa ofisini kwa Bosi akaja, akaulizwa huko Salama akajibu salama nikata kutoka niwaache akaniambia usitoke akamwambia Bosi mimi nimekuja kwa dhumuni uongee na Salome sio jina langu nampenda nataka nimuoe kabisa nimekuja kwako kwa sababu Rukia hanitaki anasema mimi mdogo kanizidi umri lakini umri kwangu sijali.

Nilitoka kwa aibu sikutegemea kama yangefika huku. Bosi aliniita akasema mwenzio yupo siriazi isitoshe una mtoto hajali kuhusu mtoto wako ataishi na wewe hivo tu. Nikamwambia hapana Bosi nikawa namfanyia vituko simpokelei simu simjibu sms mwisho nikamblock.

Basi baada ya muda nikapata mtu mwingine mkubwa kwangu kanizidi miaka 11 taratibu zote zimefanyika bado ndoa. Matukio niliyokutana nayo kwa yule mwanaume Sijawahi kukutana nayo.

Mwanaume ana nongwa, mchoyo, anagubu, anaroho mbaya, ana wivu, anakudhalilisha kisa ana pesa, nikasema na ndoa sitaki na mahari nikawaambia wazee warudishe tena nimewapa mimi mwenyewe.

Baadaye nikaenda kwa Kiwanga Doctors huko Migori nchini Kenya ambapo alinifanyia dawa ya kuvuta ndoa (marriage spell). Nikaja kupata mwanaume mtu mzima kidogo ambaye alinipenda sana na mwisho wa siku tumefunga ndoa.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Wakala wa Vipimo kuanza uhakiki wa Mita
Mradi wa Maji, Barabara kuwanufaisha zaidi ya 5,000 Kilindi - Mbinga