Rais wa ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan hii leo Machi 31, 2025 amejumika na Waislamu kusali swala ya Eid El Fitr ya kukamilisha ibada ya Mfungo wa Ramadhan, katika Msikiti wa Mohamed VI uliopo Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Nchimbi kuwasili Ruvuma kwa ziara ya kikazi
Maisha: Fanya hivi kupata faida kubwa katika biashara