Picha: Rais Samia katika matukio tofauti ya Mei Mosi Kitaifa
2 weeks ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti aliposhiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika Viwanja vya Bombadia Mkoani Singida leo Mei 1, 2025.