Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko Dodoma (Outer Ring road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato leo Juni 14, 2025.

Sekta Binafsi ya Ulinzi imesaidia kupunguza Ujambazi Nchini - Kagise
Mhandisi Luoga afanya ziara ukaguzi Miradi ya Umeme Dar es Salaam