PICHA:  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipofungua Mradi wa Maji Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu wakati wa hitimisho la Ziara ya kikazi ya Siku tano Mkoani humo leo Juni 19, 2025.

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Babati lavunjwa rasmi
Makundi maalum waitikia fursa Zabuni za Serikali kupitia mfumo wa NeST