PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Chifu Mkuu Hangaya, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha aliposhiriki Tamasha la Utamaduni wa Bulabo Kanda ya Ziwa katika kituo Cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora Mkoani Mwanza leo Juni 21, 2025.

Taarifa zinazosambazwa ni feki, Hatuna shule inayoitwa Litepatile - DED Madaba.
Lipeni madeni MSD izidi kuboresha huduma - Dkt. Ngaiza