Mbunge anayemaliza muda wake, katika Jimbo la Tanga,Ummy Mwalimu ,leo amechukua fomu ya kutetea nafasi hiyo kupitia cha Mapinduzi CCM.
Ummy Mwalimu sasa atachuana na watia nia wengine wa chama hicho.

Ummy Mwalimu amekuwa mbunge wa kuchaguliwa kuanzia 2020 na anatetetea kwa muhula wa pili.