Mfanyabiashara Msomi wa Elimu ya Juu, Michael Fidelis Mtumbuka ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge, katika Jimbo la Kilwa Kaskazini, lililopo Mkoani Lindi.

Michael Mtumbuka amechukua fomu hiyo hii leo Juni 30, 2025 katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) zilizopo Wilayani Kilwa Mkoani Lindi, akiomba ridhaa ya kuchaguliwa kuliongoza Jimbo hilo na kushiriki uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2025.

Samira Amour aomba ridhaa Ubunge Viti Maalum Kagera
Mhagama aomba tena ridhaa ya CCM kuliongoja Jimbo la Madaba