Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera, Samira Khalfan Amour, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT).

Samira amechukua fomu hiyo kwa Katibu wa UWT Mkoa wa Kagera,Rehema Mbwana katika Ofisi za Jumuiya hiyo zilizopo Bukoba Mjini Mkoani Kagera, leo juni 30 Juni mwaka 2025.

Hata hivyo Samira anahudumu nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Uchumi, Fedha na Mipango ya UWT Taifa, na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, nafasi zinazompa uzoefu mpana katika masuala ya Siasa, Uongozi na Maendeleo katika jamii.

Maisha: Tiba za jadi zinavyopambana na nguvu za kishetani zinazowakalia Watoto
Michael Mtumbuka atia nia Ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini