Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zuhura Mkumba amejitosa kuwania ubunge katika jimbo la Newala Mjini, lililopo Mkoani Mtwara.

Mkumba Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM wilaya, Robert Mwega.

Ikumbukwe jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na mwanasiasa Mkongwe Kapteni George Huruma Mkuchika kwa kipindi cha miaka 20, ambaye ametangaza kutogombea tena katika nafasi hiyo.

George Bajuta ataka uwakilishi Jimbo la Hanang'
Maisha: Tiba za jadi zinavyopambana na nguvu za kishetani zinazowakalia Watoto