Ruge Mutahaba aliliwa kila kona, Waliokiuka mikataba nyumba za Serikali wapewa notisi, Tanesco yaja na kinga ya Umeme, Watanzania kufundisha kiswahili Sudan kusini, Mapya yaibuka ugonjwa wa kimeta Moshi, Dakika 20 za Rais Trump Kim, DNA yaibua mazito mauaji ya kukata koromeo, Mvua zasababisha darasa la kwanza kusomea nje, Kifo cha Ruge chamtia matatani Dudu baya, Kesi ya Zitto yakwama tena, Wanawake wakimbia nyumba zao kutokana na mikopo, Simba, Yanga waguswa na Ruge…,Bofya hapa kujua taarifa zilizopewa uzito wajuu katika magazeti ya leo Februari 28, 2019.