Habari Picha: Rais Magufuli alipowasili katika uapisho wa Ramaphosa Afrika Kusini
6 years agoComments Off on Habari Picha: Rais Magufuli alipowasili katika uapisho wa Ramaphosa Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria, kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019.